NAFASI ZA MADEREVA 851

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZIKatibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara zinazojitegemea na Wakala wa Serikali anakaribisha maombi ya kaziya Madereva watakaoajiriwakatika Ofisi tofauti Serikalini kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi za kazi 851kamainavyooneshwa katika tangazo hili.

 

Fungua hapa kuona

Share this


0 Comments